HATIMAE SIMBA YAPATA NAHODHA MPYA
Mwanjale atasaidiwa na mchezaji bora wa Ligi Kuu
na klabu ya Simba kwa msimu uliopita, beki Mohammed Hussein 'Tshabalal'
na pamoja na nahodha wa zamani wa Azam, John Bocco
Kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amekiri kuwepo kwa mabadiliko hayo na kudai kuwa yataleta chachu ndani ya kikosi hicho.
"Ni
kweli tuna mabadiliko yamefanyika kwa kuzingatia mambo muhimu na kuhusu
maandalizi yetu yanaendel3a vizuri kama yalivyopangwa. " alisema
Mayanga.

Comments
Post a Comment